Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania (Tcu)-Ufadhili wa Masomo Nchini China kwa Watumishi wa Afya Kutoka Taasisi za Umma

Tume Ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)-Ufadhili wa masomo nchini China kwa watumishi wa afya kutoka Taasisi za Umma

Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia imepokea fursa za ufadhili wa masomo kutoka Serikali ya China kupitia Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa watumishi 20 wa Serikali na Taasisi zake kwenda kuongeza umahiri katika fani za Afya katika ngazi ya Uzamili (Masters) na Uzamivu (PhD).
Nafasi hizi zimepewa kipaumbele kwa waombaji kutoka Wizara ya Afya,Hospitali ya Taifa Muhimbili, na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Kwa maelezo zaidi na namna ya uombaji, rejea tangazo la fursa za masomo nchini China kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kwa Kubonyeza hapa )

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend