St.Augustine University of Tanzania(Mbeya Branch)-Certificate & Diploma Call For Applications March Intake 2018/2019

CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO 

TAWI LA MBEYA

                                “Tunajenga Jiji la Mungu”    

 

              P.o.Box 2622, Mbeya – Tanzania Tel: +255-2525004240  Website: www.sautmbeya.ac.tz

Namba za Simu:+255 7639 703 40,  +255 745 849 649

Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agustino Tawi la Mbeya Mjini, kinawatangazia Wahitimu wote wa kidato cha NNE na SITA   nafasi za masomo kwa ngazi ya  Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2018/2019.

Kozi hizo za Certificate (Astashahada) na Diploma (Stashahada) ni kama zifuatazo:

No PROGRAM
1 Law (Sheria)
2 Human Resource Management (Usimamizi wa Rasilimali watu)
3 Business Administration (Uongozi wa Biashara)
4 Marketing          (Masoko)
5 Information Communication and Technology (Tekinolojia ya Habari na mawasiliano)
6 Accounting and Finance (Usimamizi wa Fedha)
7 Procurement and Supply Management (Usimamizi wa Manunuzi na Ugavi)
8. Entrepreneurship  (Ujasiriamali)

Kozi  zote zinatambuliwa na baraza la taifa la elimu ya ufundi NACTE

SIFA ZA MUOMBAJI

    CERTIFICATE (Astashahada)

  • Mwombaji awe amehitimu kidato cha Nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia  “D” 4 na kuendelea. 

     DIPLOMA (Stashahada)

  • Muombaji awe amehitimu Kidato cha sita na awe na ufaulu wa “Principal Pass” moja na “Subsidiary”moja AU awe na Cheti cha msingi i.e ngazi ya nne kinachofanana na  kozi  Anayoomba 

JINSI YA KUJIUNGA

Kwa utaratibu mpya uliotolewa na NACTE, Muombaji atadahiliwa moja kwa moja  chuoni. Ada ya maombi  ni shilingi 30,000/= tu. Fomu za maombi zinapatikana  Chuoni SAUT-Mbeya. 

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/3/2018

Karibu sana Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Kituo cha Mbeya

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend