School of Library Archives and Documentation Studies(SLADS-Bagamoyo)-Nafasi za Masomo Kuanzia Mwezi Aprili 2018

(SLADS)

SCHOOL OF LIBRARY ARCHIVES AND DOCUMENTATION STUDIES

CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA-BAGAMOYO

(Accredited by NACTE)

Chuo Cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka- Bagamoyo ni Chuo cha Serikali  chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na  kuendeshwa na Bodi Ya Huduma Za Maktaba . Chuo kina usajili wa kudumu wa Baraza la Taifa la Mafunzo ya Ufundi  (NACTE) kwa namba REG/PWF/006.

Mkuu wa Chuo anakaribisha maombi ya mafunzo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kwa ngazi zifuatazo:

  1. Basic Technician Certificate in Library, Records and Information Studies ( NTA Level 4)

Sifa za kujiunga:

Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne (4) na kupata alama nne (4) za ufaulu au zaidi (Four passes)

MUDA WAMAFUNZO: MWAKA MMOJA

2. Technician Certificate in Library, Records and Information Studies (NTA Level 5)

Sifa za kujiunga:

  1. Awe amemaliza kidato cha sita na kupata “Principal pass” moja na subsidiary moja AU 
  2. Awe mhitimu wa ngazi ya NTA Level  4
MUDA WAMAFUNZO: MWAKA MMOJA

3. Ordinary Diploma in Library, Records and Information Studies (NTA Level 6)

Sifa za kujiunga:

Awe mhitimu wa ngazi ya NTA 5

MUDA WAMAFUNZO: MWAKA MMOJA

JINSI YA KUOMBA

Maombi yapelekwe chuoni SLADS Bagamoyo AU Yatumwe chuoni kwa njia  ya Posta kwa anuani ifuatayo;

CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA(SLADS)

S.L.P.227,

BAGAMOYO.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chuo:  www.slads.ac.tz Au barua pepe : sladsbagamoyo@gmail.com

Au Piga Simu Namba: 0766220405 au 0714259997

Unaweza kudownload Fomu ya Maombi hapa chini

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend