Eastern Africa Statistical Training Centre(EASTC)-Invitation for Applications

KOZI KWA MWAKA WA MASOMO 2018

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam anapenda kuwatangazia wazazi na wanafunzi wote nafasi za masomo ya NATIONAL VOCATIONAL AWARD IN STATISTICS (NVA Level I-III). Chuo kimeaanza kupokea maombi ya udahili wa wanafunzi kuanzia tarehe 2 Januari 2018, mwisho wa maombi ni tarehe 25 Februari 2018. Masomo yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 5 Machi, 2018.

SIFA ZA KUJIUNGA

  •  Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne namwenye ufaulu wa angalau ‘D’ mbili.

AU

  • Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne mwenye ufaulu wa zaidi ya ‘D’mbili lakini akakosa PASS katika masomo ya Hesabu na Kiingereza.

Muda wa masomo kuanzia NVA I-III ni miezi 18.

Ada ya maombi ni Tsh. 30,000/=
NVA Level I :Tsh. 625,000/=
NVA Level II & III: Tsh. 750,000/=

Malipo yote yafanyike kupitia:
Jina la Akaunti: EASTC
NambayaAkaunti:0150396002400
Jina la Benki :CRDB

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti hii: www.eastc.ac.tz au pigasimu 0784 784 106
Maombi yatumwe kupitia tovuti ya Chuo ambayo ni: www.eastc.ac.tz/apply

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend