Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini(Kituo cha Kanda ya Ziwa-MWANZA)-Nafasi za Masomo March 2018

CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI

KITUO CHA KANDA YA ZIWA – MWANZA

Ni Chuo Cha Serikali Chini Ya Wizara Ya Fedha Na Mipango

KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018 (MARCH/APRIL INTAKE) KATIKA NGAZI ZIFUATAZO: 

  1. ASTASHAHADA (CERTIFICATE) YA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI
  •   Mwombaji awe amehitimu kidato cha Nne na awe na ufaulu   angalau “D” nne (4)
  •  Ada: Tshs 925,000/= kwa mwaka (kulipwa kwa awamu 4)
  •  Hostel: Tshs 350,000/= (kulipwa kwa awamu 2)
  • Ada ya kujiunga: Tshs 10,000/=
  • Muda: Mwaka mmoja (1)
  • Mwisho wa Kupokea Maombi ni 30/03/2018

FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA CHUONI NA KWENYE TOVUTI YA CHUO www.mwanza.irdp.ac.tz  

KWA MAWASILIANO ZAIDI;

Chuo Cha Mipango – Mwanza

ENEO LA UKUMBI WA MIKUTANO WA AICT BWIRU

SLP 11957, MWANZA, TANZANIA

SIMU: 028 2560995/ 0767 120 320/ 0673 478 382 / 0752 775 323

BARUA PEPE: mwanza@irdp.ac.tz
Tovuti: www.mwanza.irdp.ac.tz

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend