Archbishop James University College(AJUCO)-Call for Applications

ARCHBISHOP JAMES UNIVERSITY COLLEGE

(A Constituent College of St. Augustine University of Tanzania)

TANGAZO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha SAUT-SONGEA, yaani AJUCO, anatangaza nafasi za masomo kwa kozi zifuatazo:

1. CERTIFICATE IN ACCOUNTANCY
2. DIPLOMA IN ACCOUNTANCY
3. CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION
4. DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION
5. CERTIFICATE IN PROCUREMENT AND SUPPLIES
6. DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLIES

Walengwa ni wahitimu wa kidato cha Nne na kidato cha Sita.
SIFA ZA KUJIUNGA: Astashahada (Certificate)

Awe amehitimu kidato cha Nne, kwa angalau ufaulu wa PASS 4 (Yaani D 4) na kuendelea.

SIFA ZA KUJIUNGA: Stashahada (Diploma)

1. Awe amehitimu kidato cha 6 kwa angalau ufaulu wa ‘PRINCIPAL PASS’ moja na ‘SUBSIDIARY’ moja na kuendelea.
Au
2. Awe na Astashahada (Certificate) ya kozi husika.

NAMNA YA KUPATA NAFASI YA KUJIUNGA NA CHUO CHETU KWA URAHISI:
1. PIGA SIMU CHUONI AJUCO: 0622110120, 0757 894 688 na 0713187238
2. TEMBELEA WEBSITE YETU www.ajuco.ac.tz 

CHUO KIPO SONGEA MJINI, KARIBU KABISA NA ZAHANATI YA MTAKATIFU CAMILLUS. MAOMBI YANAANZA TAREHE 20-02-2018. ADA ZETU NI NAFUU SANA KULIKO CHUO CHOCHOTE. KARIBU AJUCO KWA ELIMU BORA.

About Author

Leave A Reply

Send this to a friend