Home Announcements WARAKA WA ELIMU NA 3 WA MWAKA 2015 KUHUSU VIGEZO VYA UDAHILI...

WARAKA WA ELIMU NA 3 WA MWAKA 2015 KUHUSU VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO

WARAKA WA ELIMU NA 3 WA MWAKA 2015 KUHUSU VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatoa Waraka kuhusu vigezo vya kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano ili kuwaongoza wamiliki wa Shule za Sekondari zenye Kidato cha Tano katika kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano, mwaka 2015. Waraka huu utatumika kwa shule zote, yaani za Serikali na zile zisizokuwa za Serikali.

Angalia hapa Chini

Waraka wa Elimu Na.3 wa Mwaka 2015 Kuhusu Vigezo vya Udahiliwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano